Lusinde: Dalili ya kufilisika ni kushindwa kulipa madeni. Serikali inalipa, Mbowe amefilisika!

Mbunge wa jimbo la Mtera Livingstone Lusinde leo ametoa ya aina yake pale aliposema kuwa ili ujue kuwa mtu anataka kufilisikani lazima aishindwe kulipa madeni, huku akimfagilia Rais Dk John Pombe magufuli kwa utendaji kazi wake.


Pia amemuelimisha Mbowe kuwa moja ya kiashirika kikubwa cha kufilisika ni kushindwa kulipa madeni,Serikali ya JPM inalipa madeni bila kushindwa lakini Mbowe ameshindwa kulipa madeni ya NHC na kufurushwa na bishara kufungwa hivyo kafilisika.

Chapisha Maoni

0 Maoni