Haya hapa matokeo yote ya ligi kuu bara mechi za leo tarehe 24 Disemba

Image result for VPL 2016
Haya ni Matokeo ya Moja kwa Moja toka kwenye viwanja mbalimbali Ambapo Ligi Kuu Bara inaendelea.



  1. Simba 1 - 0 Jkt Ruvu ( 45+3 ' Mzamiru Yassin)  FT
  2. Maji Maji 1- 1 (Yahya Mohamed)  FT
  3. Ndanda Fc 0 - 2 Mtibwa Sugar
  4. Kagera sugar 1 - 0 Stand United
  5. Mbeya City 0 - 0 Toto Africa - FT
  6. Mwadui 1 - 0 Mbao fc

Chapisha Maoni

0 Maoni