Hii hapa ratiba ya ligi kuu bara VPL tarehe 24 Disemba


Baada ya Jana kuendele kwa mechi moja kati ya African Lyon waliyoikaribisha Yanga, leo kutakuwa na jumla ya mechi 6 VPL.



RATIBA YA MECHI 6 ZA LIGI KUU YA TANZANIA BARA 24.12.2016

  1. Mwadui Fc vs Mbao Fc
  2. Mbeya City vs Toto Africa
  3. Kagera Sugar vs Stand United
  4. Ndanda Vs Mtibwa Sugar
  5. Simba Vs JKT Ruvu
  6. Maji Maji vs Azam Fc

Chapisha Maoni

0 Maoni