Kesi ya mwanzilishi wa jamiiforums kuunguruma tena leo mahakamani


Kesi inayomkabili Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media, Maxence Melo inatarajiwa kutajwa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu.

Mkurugenzi Mtendaji wa Jamii Media inayoendesha mitandao ya JamiiForums na Fikra Pevu, anakabiliwa na mashtaka matatu likiwemo la kuendesha tovuti isiyosajiliwa nchini.

Chapisha Maoni

0 Maoni