Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amelazwa Hospitalini

[​IMG]Mbunge wa Ilala, Mussa Azzan Zungu amelazwa katika Taasisi ya moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI), jijini Dar es salaam akipata matibabu ya maradhi ya moyo 


Zungu alipelekwa hospitali baada ya kuzidiwa ghafla akiwa nyumbani kwake, hata hivyo imelezwa kwamba hali yake inaendelea vizuri.

Chapisha Maoni

0 Maoni