Prof Msolla: Yanga isijidanganye kwa Wakomoro

Dar es Salaam. Wakati wanachama na mshabiki wa Yanga wakichekelea timu yao kupangwa na timu mchekea ya Ngaya de Mbe  ya Visiwa vya Comoro katika hatua ya awali ya michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika, kocha wa zamani wa Taifa Stars na Reli Morogoro, Profesa Mshindo Msolla amesema Yanga isijidanye.

Wakati Profesa Msolla akisema hayo, wadau mbalimbali wa soka wameipa Yanga asilimia 80 ya nafasi ya kufuzu kucheza hatua ya makundi ya Ligi ya Mabingwa Afrika dhidi ya wapinzani wake, ikitakiwa kujiandaa vizuri.

Chapisha Maoni

0 Maoni