Shekh Ponda amtembelea mbunge wa Arusha Mjini Godbless Lema ktk gereza
kuu la Arusha leo, na kusema Haki huinua Taifa bali dhambi ni aibu ya
watu wote, pia alimtia
moyo Lema na kumwambia sikupi pole nakupa hongera
haya unayoyapitia niliwahi kupitia lkn usirudi nyuma songa mbele.


0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA