STEVEN HAWKING: Dunia itateketea baada ya miaka 1000

Dunia tunayoishi haitokuwa kama ilivyo sasa
baada ya miaka 1,000.

Mwanasayansi nguli na mnajimu, Stephen Hawking,
amesema binadamu hawatoweza tena kuishi


katika ardhi ya dunia kwa miaka 1,000 nyingine,
na chanzo kitakuwa yale yale,
mabadiliko ya tabia
nchi, mabomu na roboti.

Stephen Hawking Akiongea kwenye chuo kikuu cha Oxford wiki
kadhaa zilizopita, Hawking alisema njia pekee
itakayotupa maisha zaidi, ni kuhama kwenye dunia
hii na kwenda kutengeneza makoloni kwenye
sayari zingine.
“Although the chance of a disaster to planet Earth
in a given year may be quite low, it adds up over
time, and becomes a near certainty in the next
1,000 or 10,000 years,” alisema.
“By that time we should have spread out into
space, and to other stars, so a disaster on Earth
would not mean the end of the human race.” Pamoja na hivyo, Hawking alikuwa na maneno ya
faraja: Remember to look up at the stars and not
down at your feet. Try to make sense of what you
see, wonder about what makes the universe exist,”
he said.
“Be curious. However difficult life may
seem, there is always something you can do and succeed at. It matters that you don’t just give up.”

Chapisha Maoni

0 Maoni