Wimbo mpya wa Darasa 'Muziki' wakimbiza, wavunja rekodi kwa marapa Tanzania


Video ya Wimbo Mpya wa Msanii Darasa unaitwa Mziki Mpaka sasa umevunja Rekodi kwa Kutazamwa sana ndani ya Muda Mfupi Kwa Video za Waimbaji wa Rap hapa Bongo, Wimbo huo kwa sasa umefikisha watazamaji Milion Moja wiki mbili toka uwekwe mtandaoni kwenye channel ya Youtube.....Mpaka Muda Huu inaonyesha Una Views 1,056,542 views

Chapisha Maoni

0 Maoni