Eric Omondi aigiza clip ya Adam na Hawa ndani ya Eden

Mchekeshaji wa Kenya Eric Omondi amekuwa na utundu wa  kuzirudia na kuziigiza movie na nyimbo za mastaa mbalimbali ambapo wakati huu ameirudia sehemu ya movie ya Adam na Eva wakiwa kwenye bustani ya Eden.

==>Itazame hapo chini

Chapisha Maoni

0 Maoni