BREAKING NEWS: Majambazi manne yauawa na polisi Kariakoo usiku huu




Jeshi la polisi Dar es salaam limewaua majambazi wanne ambao walikuwa wakivamia maduka Kariakoo, Mtaa wa Aggrey/ Livingstone. Mashuhuda wa tukio hilo wameeleza kuwa majibizano ya risasi kati ya polisi na majambazi yamechukua takribani dakika 10.
Kingine walichokieleza mashuhuda ni kuwa kuna baadhi ya watu waliokuwa eneo la tukio wamejeruhiwa na risasi ambapo mmoja wao amepelekwa hospitali, Unaweza kubonyeza play hapa chini kutazama 

VIDEO: Sirro aongea kuhusu Askari aliyefyatua risasi mbele ya Waziri wa zamani, Bonyeza play hapa chini

Chapisha Maoni

0 Maoni