Kuhusu usajili Simba SC tarehe 27.5.2017, hii hapa habari mpya

Image result for simba sc tanzania
Zikufikie shabiki na mpenzi wa klabu ya Simba uliyekuwa na wasiwasi juu ya mchezaji Abdi Banda ambaye taarifa zake za Kugoma Kuongeza mkataba klabuni hapo zilienea kipindi fulani kuwa mambo huenda yakakaa sawa na beki huyo akaendelea kucheza Simba msimu Ujao.

Hii inakuja mara baada ya Banda kuithibitisha kufanya mazungumzo na Mfadhili wa timu hiyo Mo Dewji, amesema “Nimeshazungumza na MO na baada ya kumalizika mchezo wa fainali (Kombe la Shirikisho) yetu na Mbao, Jumapili au Jumatatu nitakwenda kuonana naye tena,” alisema Banda

Chapisha Maoni

0 Maoni