VIDEO: Watu watano waliohukumiwa kifo Kagera

Mahakama kuu kanda ya Bukoba chini ya Jaji mfawidhi wa Mahakama kuu kanda ya Bukoba Salvatory Bangole imewahukumu kifo watu watano wa wilaya ya Karagwe na Kyerwa mkoani Kagera.



Chapisha Maoni

0 Maoni