Pluijm bado anamapenzi na Yanga

Dar es Salaam. Kocha wa Singida United,  Hans van Pluijm bado anamapenzi na Yanga baada ya kuongoza mazoezi ya timu yake akiwa amevaa jezi ya Yanga.


Kocha Pluijm alikuwa na msaidizi wake Fredy Minziro aliyekuwa amevaa jezi ya Singida United katika mazoezi hayo.

Singida United inajiandaa na mashindano ya SportPesa yanayotarajiwa kuanza Jumatatu ijayo.

Chapisha Maoni

0 Maoni