Rais Mstaafu Mwinyi akiwa na washindi wa fainali ya mashindano ya Kitaifa ya kuhifadhi Quran leo

Rais mstaafu Ali Hassan Mwinyi (waliosimama katikati) akiwa na wageni waalikwa na baadhi ya vijana walioibuka washindi kwenye fainali ya mashindano ya kitaifa ya kuhifadhi Quran Tukufu kutoka Tanzania Bara na Visiwani yaliyofanyika ndani ya viwanja vya
Maonyesho ya Biashara ya Kimataifa ya Mwalimu Nyerere, Dar es Salaam jana, chini ya uratibu wa Taasisi ya Al-Manahilul Irfan Islamic Centre. Wa pili kulia waliosimama ni Makamu wa Rais mstaafu Dk Gharib Bilal

Chapisha Maoni

0 Maoni