Yaya Toure asaini mkataba mpya Manchester City

Kiungo wa Manchester City, Yaya Toure amesaini mkataba mpya wa mwaka mmoja kuendelea kuichezea klabu hiyo
ya Uwanja wa Etihad aliyojiunga nayo mwaka 2010 kutoka Barcelona ya Hispania

Chapisha Maoni

0 Maoni