MTOTO MDOGO SHABIKI WA LOWASA AMTEMBELEA LOWASA OFISIN KWAKE

Mtoto Shaquille salim (3) toka mbezi, Dar es salaam akiwa na Waziri mkuu mstaafu na mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA Mh. Edward Lowassa alipomtembelea ofisini kwake akiambatana na baba yake (hayupo pichani).


Mtoto huyu ni shabiki mkubwa wa Mh. Lowassa kiasi cha kujiita jina la Lowassa na katika hali ya kustaajabisha mtoto huyo anafahamu mambo mengi sana yamuhusuyo Mh. Lowassa jambo ambalo linawashangaza wengi hasa wanapolinganisha uwezo wake kiakili na umri wake

Chapisha Maoni

0 Maoni