IFUATAYO NI MISAMIATI ILIYOSAHAULIKA SANA
Kanguvuke - jenereta
Rununu - simu ya mkononi
Weledi - profesionalism
baobonya - keyboard
Puku - mouse.
Ngamizi - kompyuta
Wavuti - internet
Tovuti - website
Kichakata matini - word processor
Runinga - television.
Pata msamiati mpya wa kiswahili na ongezea ya kwako.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA