
Umezuka mgogoro mkubwa ndani ya uvccm mkoa wa mwanza na kupelekea ugomvi
mkubwa kutokana na baadhi kuzurumiwa posho na viongozi wa juu wa
mkoa na kushindwa kusomea mapato na matumizi na viongozi hao wa uvccm
wengine wametishia kuhama chama na wengine amerudisha kadi zao .
Chanzo cha habari chetu kinasema, baada ya kuzuka kwa ugomvi huo, wengine wametupa kadi zao huku wakikwidana kila mmoja.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA