TATIZO LA MCHANGO KWA WATOTO WACHANGA, PATA TIBA ASILI HAPA

Mara nyingi tatizo la mchango kwa watoto limekuwa ni sugu, na ili kupunguza tatizo hilo, wazazi husumbuka hapa na pale kwa ajili ya kutafuta dawa ya mchango. Zipo dalili nyingi ambazo huashilia mtoto huyo anasumbuliwa na mchango, na zifuatazo hapa ni baadhi tu ya dalili;

1. Mtoto kulia huku akijinyonga tumbo,
2.Mtoto kujisaidia kinyesi kigumu
3.Kukataa kunyonya
4. Kwa watoto wa kiume, sehemu za siri kurudi ndani. Hali hii isiposhughulikiwa mapema hukomaa na kumfanya mtoto kuwa na mshipa wa ngili.

Sisi kama wataalamu wa Tiba asili, tunashughulikia tatizo hili kwa kutumia miti shamba na ili kutupata, wasiliana nasi kwa nambari 0759947397 afu fika maeneo ya stand ya zamani mkoani Shinyanga.

Chapisha Maoni

0 Maoni