AFRIKA KUSINI YAANZA MCHAKATO WA KUJITOA MAHAKAMA YA UHALIFU YA KIMATAIFA-ICC

FREETOWN.
Afrika Kusini imeanza rasmi mchakato wa kukamilisha nia yake ya kujiondoa uanachama wa mahakama ya uhalifu. Hii ni kufuatia malalamiko ya muda mrefu kuwa, mahakama hiyo imekuwa ikiwafuatilia viongozi wa Afrika tu na ikiendeshwa kwa ubaguzi wa hali ya juu
, kitu ambacho kilitengeneza ombwe kubwa baina ya nchi zinazoendelea na zilizoendelea.

Takribani siku chache pia, Burundi ilitangaza kujiondoa katika mahakama hiyo, na hatua hii inachukuliwa kama hatua sahihi kwa nchi za kiafrika kama inavyochambuliwa na wataalamu mbalimbali wa siasa.

Chapisha Maoni

0 Maoni