Baada ya Scorpion kufanya yake Buguruni sasa kuna mtu mwingine ameibuka
kutoka huko Dar maeneo ya stakishari akijulikana kwa jina la RAMBO huyu
inasemekana anatembea na mapanga mawili na huwa akikutana na wanaume
basi huwakata mapanga
Sasa kwa hali hiyo imepelekea wanaume wa Dar wakazi wa eneo la
stakishari kutorudi nyumbani kwa kuhofia kukatwa mapanga na RAMBO.
Suala hili limepelekea kuingiwa na hofu na matokeo yake wanalala bar kuhofia kurudi nyumbani.
Ifike wakati wananchi tuchukue hatua kunusuru masuala haya.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA