Habari za kushtusha toka chanzo cha kuaminika Hospitali ya Muhimbili
kinathibitisha aliyewahi kuwa waziri wa Elimu ndugu Joseph Mungai na
Mbunge wa Mufindi amefariki dunia.!
Geofrey Mungai mtoto wa Marehemu amesema marehemu alipelekwa hospitali
ya Taifa Muhimbili baada ya kuanza kutapika mfululizo na kudhaniwa
kwamba alikuwa amekula kitu kibaya.
Joseph James Mungai alizaliwa tarehe 24 Oktoba 1943
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA