Hussein Bashe: Hatuwezi kuwaamini Wakenya kwenye mkataba wowote tena

Mbunge wa Nzega Hussein Bashe amedai hatuwezi kuwaamini wakenya na kuingia nao kwenye mkataba wa EPA, hii ni kwa sababu wakenya walishatugeuka mara nyingi
Ametolea mfano kuna kuweka kodi kwenye transit goods kulikua na makubaliano kwa block yote lakini wakaja kugeuka

Amesema mkataba wa EPA kila nchi iingie kimpango wake na terms zake

MSIKILIZE HUSSEIN BASHE HAPA


Chapisha Maoni

0 Maoni