Rais Magufuli amesema TEA ambayo ilianzishwa chini ya sheria section
5(1) of the Education Fund Act No. 8 of 2001 ili kusimamia pesa za elimu
imepewa pesa zaidi ya bilioni 30 na badala ya kuzipeleka kwenye miradi
ya elimu kama kujengea madarasa na kusaidia masuala mengine ya elimu
nchini lakini wameamua kuweka kwenye fixed account wakati kuna miradi ya
elimu imesimama kwa kukosa pesa.
Rais magufuli amewaambia viongozi wa TEA wafahamu maamuzi yao
yanawafanya wakalie kuti kavu. Mbaya zaidi wamefanya maamuzi hayo katika
msukumo wa kujinufaisha wao badala ya TEA. VIDEO HAPA
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA