Novemba
20 mwaka huu Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mwenyekiti wa bodi hiyo,
Bernard Mchomvu na kuivunja hiyo bila kueleza sababu zozote.
Rais John Magufuli ameeleza sababu za kuivunja Bodi ya Mamlaka ya Mapato
Tanzania(TRA) kuwa ilitokana na bodi hiyo kuidhinisha mamlaka hiyo
kuweka mabilioni ya fedha kwenye benki binafsi
Novemba 20 mwaka huu Rais Magufuli alitengua uteuzi wa mwenyekiti wa
bodi hiyo, Bernard Mchomvu na kuivunja hiyo bila kueleza sababu zozote.
Akizungumza leo wakati wa sherehe za mahafali ya Chuo Kikuu Huria
yaliyofanyika Kibaha mkoani Pwani, Rais Magufuli amesema kuwa TRA
walichukuwa fedha mabilioni na kuweka fixed account benki 8 binafsi na bodi ikaidhinisha.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA