Simon Sirro amjibu Makonda tuhuma za kupokea rushwa na kushindwa kudhibiti shisha

Kamanda wa polisi mkoa wa Dar, Simon Sirro amejibu tuhuma zilizoelekezwa kwake na mkuu wa mkoa wa Dar Paul Makonda kuwa huenda amehongwa fedha na wauza shisha ndio imemfanya kushindwa kudhibiti shisha.

Simon Sirro amesema si kweli mapambano hayo yamekufa, kuna watu wafanyabiashara na wauzaji wamekamatwa na majalada yao yamepelekwa kwa wakili wa serikali...

Matumizi ya shisha bado yanaendelea mtaani, hadi watu wakadhani kuwa imeruhusiwa, Makonda hakuwa sahihi kumtole shutma mbele ya hadhara lakini Sirro ameonyesha uzembe juu ya hili
Na pengine amepokea rushwa kweli, mwandishi alipaswa amhoji kuhusu matumizi yanayoendelea mtaani ni kuwa hawayaoni?
ANGALIA VIDEO HAPA

Chapisha Maoni

0 Maoni