Akiongea kupitia runinga ya taifa, Rais Jammeh ametangaza kutoyakubali matokeo ya uchaguzi ikiwa ni siku chache tangu ampigie simu na kumpongeza Adam Barrow kuwa ndie mshindi na kuahidi kumpa ushirikiano wote unaostahili.
Yahya Jammeh ambaye aliingia madarakani kwa njia ya mapinduzi mwaka 1994, alishindwa na mpinzani ambaye alipata zaidi ya asilimia 45.
Marekani imetangaza kupinga vikali kauli ya Yahya Jammeh.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA