Mapokezi ya Lowassa Nzega yatisha, apokelewa kwa kishindo cha ajabu

Mjumbe wa kamati kuu ya CHADEMA aliyekuwa mgombea urais kwa tiketi ya CHADEMA chini ya mwavuli wa UKAWA Mhe. Edward Ngoyai Lowassa apokelewa kwa kishindo katika mji wa Nzega asubuhi ya leo ambapo yupo kwenye ziara ya kikazi.




Chapisha Maoni

0 Maoni