Matokeo fainali under 20 Simba dhidi ya Azam
KWATA UNIT BLOG TUNAKUPA MATOKEO KATI YA VIJANA WA UNDER 20 SIMBA VS AZAM
DAKIKA 90 ZIMEISHA
Simba U20 2 - 2 Azam U20
Sasa Timu zinaenda muda wa Nyongeza Mtembeleaji wa KWATA UNIT BLOG Tunaendelea kukupa Unachokihitaji.
DAKIKA 120
Simba U20 2 - 2 Azam U20
Inafuata Mikwaju ya Penati
MATOKEO YA MWISHO (FINAL RESULTS)
Simba U20 5 - 3 Azam U20
SIMBA UNDER 20 NDIYO MABINGWA WA MICHUANO YA VIJANA CHINI YA MIAKA 20
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA