Mwenyekiti wa Simba, Aveva aongelea suala la kumsajili Mbuyu Twite, ukweli sasa huu hapa

Image result for EVANCE AVEVA
Rais wa Simba Evance Aveva ameliongelea suala Ambalo limekuwa linasemwa na kuandikwa kwenye mitanadao ya kijamii kuhusu Simba Kumsajili Mbuyu Twitte.



Aveva amewaomba wanachama ,wapenzi na washabiki wa timu ya Simba kupuuza taarifa hizo, na hawana mpango wowote wa kumsajili Mbuyu Twite Simba.

Aveva ameyasema hayo mara baada ya kuulizwa na mmoja wa wanachama ambao walikuwepo kwenye mkutano uliokuwa umeitishwa leo 11.12.2016

Chapisha Maoni

0 Maoni