Matukio Mawili yaliyotokea Mwanza na Arusha leo Tarehe 3 Disemba

Anaandika Diwani Mathias Pauli Lyamunda.


Matukio Mawili yaliyotokea Mwanza na Arusha leo Tarehe 3, December. Mwanza walichagua CCM na Arusha walichagua CHADEMA, Uchaguzi 2015. Mwanza wamachinga wamelia na kusaga meno leo kuharibiwa biashara zao na kuondolewa kwenye maeneo yao ya biashara na zikatupwa hapo kwenye uwanja wa Uchafu Kuoga Igogo, na kwa upande wa pili Arusha wamechekelea hadi jino la Mwisho leo kwa mgao wa pikipiki wa kihistoria uliofanyika leo. Kati ya Mwanza na Arusha akina nani unadhani hawakudanganyika Uchaguzi ya 2015. majibu ni hapa hapa tu. #KuisomaNamba
FB_IMG_1480792121860.jpg

Chapisha Maoni

0 Maoni