. Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akisalimiana na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo
Rais wa Tanzania Dk. John Magufuli ambaye pia ni Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki EAC, akizungumza na mke wa mwanzilishi wa Taifa la Sudani Kusini, Rebecca Nyandeng De Mabior aliyefika pamoja na ujumbe wake kwa ajili ya mazungumzo hayo, Ikulu jijini Dar es Salaam, leo Picha na Ikulu
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA