Marais mbalimbali kutoka nchi za Afrika wanatarajiwa kuhudhuria maadhimisho ya miaka 55 ya Uhuru kufutia mwaliko waliopewa na mwenyeji wao Rais Dkt Magufuli.
- Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe,
- Rais Joseph Kabila wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC),
- Rais Yoweri Museveni wa Uganda,
- Rais Pierre Nkurunziza wa Burundi,
- Rais Paul Kagame wa Rwanda,
- Rais Edgar Lungu wa Zambia,
- Rais Uhuru Kenyatta wa Kenya na
- Rais Denis Sassou Nguesso wa Congo Brazzaville.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA