Ndugu wapenzi watembeleaji na wafuatiliaji wa Mahenga Blog, tumeona, pamoja na mambo mengine, tuweke swali ambalo litatusaidia kufahamu ni kwa jinsi gani tunakufikishia habari na kwa wakati gani.
Ombi letu ni wewe ndungu mtembeleaji kutembelea MAHENGA BLOG na kupiga kura kwenye swali linaloonekana kulia kwako. Chagua jibu sahihi kisha bofya, na tayari utakuwa umeshiriki. Maoni yako ni marekebisho yetu
Pia endelea kututumia maoni kwa barua pepe: hujumasr@gmail.com
Usisahau pia kudownload MAHENGA BLOG APP kwa kubofya HAPA
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA