Mchezaji Haruna Niyonzima ameamua kuweka wazi kuwa yeye bado ni mchezaji wa Yanga na hajafanya mazungumzo yoyote na Klabu wala chombo cha habari Tanzania Juu ya USAJILI wake.
" Nashangaa sana kusikia habari kuwa mimi naondoka yanga nasijui zimetokea wapi mimi nipo kwenye timu ya taifa na nimchezaji wa Yanga SC izo habari ni za kizushi na sijaongea na kituo chochote cha habari wala gazeti toka Tz " Alisema Niyo.
0 Maoni
TUANDIKIE MAONI YAKO HAPA