MICHEZO: DELE ALI, MCHEZAJI MDOGO WA MWAKA, ATUNUKIWA TUZO NA PFA

Chama cha soka cha PFA kimemtunuku tuzo mchezaji wa Tottenham De
le Ali kuwa ni mchezaji mwenye umri mdogo wa mwaka. Dede Ali mwenye umri wa miaka 20 amewatoa kimasomaso wachaji watatu ambao ni Harry Kane, Lomelu Lukaku na Philipe Coutinho ambao pia walikuwa wanawania tuzo hiyo.

"Najisikia faraja kushinda tuzo hiyo ya sifa na shukrani za pekee kwa familia yangu, marafiki na
staff yangu kwa kuniunga mkono". Amesema Dele katika mahojiano na shirika la utangazaji la ALJAZEERA

Chapisha Maoni

0 Maoni