MICHEZO: HESHIMA KATIKA SOKA LA AFRIKA KUREJESHWA NA RIAD MAHREZ, ASHINDA MCHEZAJI BORA WA MWAKA

Mchezaji wa Timu ya taifa Algeria na anaekinukisha pia katika klabu ya kandanda ya Leicester City, ya  Uingereza Riad Mahrez ameshinda tuzo ya mchezaji bora wa mwaka wa Barclays Premier League. Mchezaji huyo amerejesha heshima ya pekee katika ulimwengu wa kandanda katika bara la Afrika kwa heshima ya kutunukiwa tuzo hiyo.

Chapisha Maoni

0 Maoni