MAJALIWA: WANAFUNZI WA VYUO VIKUU WAFUATE SHERIA, WAACHE SIASA

Waziri mkuu Kassimu Majaliwa amewataka wanafunzi wa vyuo vikuu kuacha siasa, bali wafuate sheria za mahali walipo maana kila sehemu ina taratibu zake.

Waziri ameyasema hayo alipokuwa akijibu swali la papo kwa hapo la Mbunge wa viti maalumu Ester Matiko bungeni Alhamisi ya Tarehe 4. Soma zaidi hapa>>

Chapisha Maoni

0 Maoni