MAMA MAHIGA: KUSIMAMA KWENYE ZEBRA CROSSING NI KOSA MINOR SANA.

Mke wa waziri wa mashauliano ya nje Augustine Mahiga ameingia katika kashfa ya kumtukana traffic baada ya dereva wake kusimama kwenye zebra crossing ambapo ni kinyume cha sheria za usalama barabarani.

Kashfa hii imekuja baada ya kumtukan traffic huyo ambaye pia aliamua kupiga simu kwa boss wake na kutaka aongee moja kwa moja na mama mahiga.

Alichokijibu mama Mahiga ni kuwa, kosa la kusimama kwenye zebra crossing ni minor sana. Hii hapa audio ya kujibizana kwao.

Chapisha Maoni

0 Maoni