RC NTIBENDA AMTUMBUA JIPU MHANDISI MIKIMBA MERU

Mkuu wa mkoa wa Arusha amemtubua jipu mhandisi Mikimba kwa madai ya usimamizi mbovu wa ujenzi wa barabara na usimamizi mbaya wa ujenzi wa nyumba za walimu mwaka 2013/2014.

Akizungumza na waandishi wa habari, mkuu Ntibenda ametoa agizo kwa katibu tawala mkoa wa Arusha Rishard Kwitega kufanya uchunguzi wa tuhuma zinazomkabili mhandisi huyu kuanzia tarehe 4 hadi 2015/2016. 

Na.
Chanzo chetu

Chapisha Maoni

0 Maoni