Mwigulu Nchemba aduwazwa na wananchi kujifungia wakiogopa Panya Rodi

Waziri wa mambo ya ndani, Mwigulu Nchemba ameshangazwa na wananchi kukimbia na kujifungia wakiogopa vikundi vya kihalifu kama Panya Road vinapofika kwenye mitaa yao ilihali linaundwa na watoto wadogo ambao wanatumia silaha za jadi.


Mwigulu amesema silaha hizo za jadi wananchi wote wanazo hivyo wanaweza kuwakabili.

Chapisha Maoni

0 Maoni