MWANZA: Mfamasia wa Wilaya ashikiliwa kwa tuhuma za wizi wa dawa za Serikali

Mfamasia wa Halmashauri ya wilaya ya Sengerema mkoani Mwanza Keneth Mayengo, anashikiliwa na jeshi la polisi wilayani humo kwa tuhuma za wizi wa dawa za serikali.


Inadaiwa kuwa alikuwa akiziuza nje ya wilaya kwa kisingizio alikuwa akienda kuzisambaza.

Chapisha Maoni

0 Maoni