OFISI YA CHADEMA YAVAMIWA DAR.

Kikundi cha vijana zaidi ya 30 wa chadema wamevamia ofisi ya chama wilaya nakuifunga.vijana hao ambao wengine walidai kuwa ni viongozi wa wilaya walitoa sababu ya maamuzi yao kuwa ni kuchoka kutumia chumba kimoja cha kupanga hali inayosababisha kufanya vikao wakiwa wamesongamana lkn pia wanapata usumbufu kutokana na chumba cha pili kuwa ni klabu ya pombe.


vijana hao pia walidai kuwa mm/kiti taifa alikusanya michango kwenye mkutano wa hadhara wakiwa kiwanja cha mpira ili kujenga ofisi ya wilaya lkn mpaka sasa yuko kimya hivyo wanafanya hivyo ili kutuma ujumbe wao.

kijana moja akiongea kwa hasira alidai kuwa kiwanja cha kujengea walipewa na halmashauri lkn cha ajabu kimetolewa kwa jina la mtu na si la taasisi...Wamedai kuwa lengo lao si kuvuraga chama bali kukijenga .

Chapisha Maoni

0 Maoni