PROF. KITILA MKUMBO: Rais Magufuli anaamini katika uwajibikaji bila demokrasia

Mhadhiri Mwandamizi wa UDSM na Mchambuzi wa mambo ya kisiasa nchini,Prof. Kitila Mkumbo amesema kuwa moja ya changamoto za utawala wa Rais Magufuli ni kuamini uwajibikaji bila demokrasia.


Prof. Mkumbo alikuwa akizungumza na BBC Swahili katika makala ya kuuchambua mwaka mmoja wa utawala wa Rais Magufuli. Prof. Mkumbo amesema utawala huu unaonekana kuminya demokrasia ingawa unasimamia uwajibikaji.

Chapisha Maoni

0 Maoni