UTAFITI: JE, WAJUA KUWA ASILIMIA 41 YA WANAWAKE HAWAELEWANI NA MAMA WAKWE ZAO?


Asilima 41 hawana mahusiano mazuri na mama za wabwana zao. Hawazungumzi nao.
U
tafiti unaonyesha kati ya wanawake 10, mmoja wao ana ugomvi na mama mkwe wake.- mother-in-law.


Image result for UTAFITI
Utafiti uliofanywa na shirika la OnePoll la Uingereza unaonyesha kuwa ugomvi mkubwa kati ya mama mkwe na wake za vijana wao ni kutokana na usemi maarufu " sisi zama zetu tulikuwa tunafanya hivi au vile " .


Wanawake hawataki kuambiwa zama zile au kukosolewa mara kwa mara.
Utafiti huo pia unaonyesha kuwa nusu ya wanawake, washawalalamikia mabwana zao kuhusu kina mama zao, wazazi wa bwana wa kike.
Asilimia 15 ya wanawake wamewahi kukosana , ndoa kuvunjika kutokana na ugomvi kati ya mkwe na mama mkwe.


Ugomvi mkubwa zaidi kati ya mke na mama mkwe kuhusu malezi ya watoto, wajukuu.

Chapisha Maoni

0 Maoni