VIDEO MODEL WA DIAMOND WIMBO WA SALOME AKANUSHA KUWA SI YEYE ALIYEBAKWA HADI KUUAWA KAMA INAVYODAIWA.

Mengi yamesikika kuhusiana na taarifa zisizo rasmi kuhusiana na kifo cha mrembo ambaye alionekana kwenye video ya “Salome” yakwake Diamond Platnumz.


Unachotakiwa kukifahamu ni kwamba model aliyeonekana kwenye video ya Salome hahusiani kabisa na model ambaye taarifa zake zimeripotiwa kuwa ameuawa.
Uthibitisho juu ya suala hilo Perfect255 imeupata kutoka kwa muhusika mkuu wa jambo hilo ambae hapo awali ilijulikana kuwa ni yeye ambaye ameuawa. Mwenyewe akizungumza na kudai kuwa yeye sio Juliana ambaye ameripotiwa kuuawa, bali yeye anaitwa Lilian na hamfahamu kabisa Juliana huyo. SIKILIZA ALICHOKIZUNGUMZA KWENYE REKODI HII HAPA CHINI

Chapisha Maoni

0 Maoni