Wazazi, wanafunzi wamiminika bodi ya mikopo, wasema wamebaguliwa kutopewa mikopo

Wanafunzi walimiminika kwa wingi kwenye bodi ya mikopo kulalamika kuhusu kutopewa mikopo kwa sababu walifanya mtihani kama private candidate na waliosoma diploma.


Wazazi pia walifika kwenye bodi hiyo wakilalamika wanafunzi kunyimwa mikopo kwa sio kwa uwezo wa kulipa bali vigezo vingine.
Watu wa ndani wa bodi ambao walikuwa hawataki kutajwa majina walisema wanafunzi waliosoma diploma au kufanya mtihani kama private candidate hawatapewa mkopo haijalishi wanaweza kujilipia au hawawezi

Chapisha Maoni

0 Maoni