Kumbe mkata wa umeme wa Yanga 'Zulu' anasubiri hili tu aanze kuchezea Yanga VPL

Image result for justine zulu yanga
Baada ya Justine Zulu ambaye ameshajizolea AKA toka atue Yanga na amekuwa maarufu kama MKATA UMEME kuikosa mechi ya Jumamosi dhidi ya JKT RUVU Na kuonekana akiwa kakaa sehemu ya mashabiki alhali ITC ikiwa tayari ilishafika TFF.



Sasa Kaimu katibu mkuu wa Yanga Baraka Deusdedith amesema kuwa Zulu hana Tatizo lolote linalomzuia kuchezea Yanga kwasasa zaidi ni mipango ya Kocha Tu.

Kwahiyo kama Kocha ataamua kumpanga atacheza bila tatizo lolote lile,

Chapisha Maoni

0 Maoni