Makala: Simba msipokee mil. 50 za Kessy, pelekeni suala lenu FIFA

Viongozi wa Klabu ya Simba nawaomba mzingatie Ushauri uliotolewa Na Mwenyekiti Mstaafu wa Simba Alhaj Rage Juu ya kupeleka suala la Klabu 6a Yanga wa Kimataifa ya kusafiri , kumchezesha mchezaji halali aliye ndani ya mkataba Hassan Kessy kinyume Na Sheria za Fifa.


Ushahidi wa TFF ndio utakaotumika.Sh.milioni 50 Simba mnazo Na Kwa Maelezo ya Alhaji Rage faini hiyo in ndogo hivyo hampaswi kuichukua.

Pia kumbukeni hao Yanga wamekuwa wanawachezea rafu katika usajili wenu wamekuwa wanawarubuni wachezaji wenu hivyo wakati umefika wa kuwafundisha Sheria za sika.

Nilitegemea TFF pamoja Na hukumu ya Kessy ingekwenda mbali zaidi kujiuliza Je Yanga wakati inamchezesha Kessy alikuwa in mchezaji wa Simba au wa Yanga? Kama wa Simba adhabu yake nini? Lakini TFF imenyamaza.      

Chapisha Maoni

0 Maoni